Biashara Ikiendelea
Warda akisimamia upakiaji wa bidhaa.
Upakiaji ukiendelea.
Kaka Ally akitusaidia kupakia, Ahsante sana kaka kwa msaada wako.
Tunu busy akihakikisha bidhaa kama ziko sawa.
Heheeee kwa picha sasa balaa.
Mambo yakiendelea gari tayari sasa.
Hoi ila pichaa mhhhh hakuna anaekataa.
Hesabu ziko sawa kiasi afurahi...
Tayari kwa safari, mzigo huo umekamilika, safari ingine yaanza.
Zamu ya kununua mayai.
Kaka busy akitufungia, Ahsante kaka.
Warda akihakikisha trey za mayai km zimetimia.
Tunu akilipa pesa .
Lazima kuhesabu tena si unajua pesa tena uhakika lazima.
Haya Tunu twenzetu.
Mpaka kufika na kugawa mzigo ni usiku tu hoi.
Ahsante Ka Khamis kwa msaada wako.
Kaka yetu akitusaidia kupanga vitu, Ahsaante kaka.
No comments:
Post a Comment