MATUKIO

Siku tuliokwenda kumpa pole mwanachama mwenzetu alipofiwa na mama yake mzazi. Maryam Kitenge.

Pole sana Maryam ni kazi yake muumba haina makosa. Tuko pamoja.